Micah 4:4

4 aKila mtu ataketi chini ya mzabibu wake
na chini ya mtini wake,
wala hakuna mtu atakayewaogopesha,
kwa kuwa Bwana Mwenye Nguvu Zote amesema.
Copyright information for SwhNEN